CCM YAFANYA KIKAO NA MAKATIBU WA CCM MIKOA KUWEKA MIKAKATI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake cha Sekretarieti na Makatibu wa CCM wa mikoa, leo, Desemba 11, 2012, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba . PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary  (kushoto) akihudhuria kikao hicho pamoja na makatibu wenzie
Katibu wa Sekretaiieti Uchumi na Fedha, Zakia Meghji akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba

Makatibu wakuu wa CCM kutoka mikoani wakiwa katika kikao hicho

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA