SAFARI YA WANAHABARI KWENDA MTWARA KWENYE KONGAMANO LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Mtwara kwenye Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) la kujadili tafiti zilizofanywa na wanahabari hao katika Halmashauri 26 nchini.Tafiti hizo zilihusu matumizi ya fedha za michango yamfuko huo na CHF.


Basi la Hamanju likiwa limesimama kwa matengenezo madogo katika Kijiji cha Kilimahewa wilayani Mkuranga Pwani likiwa limepakiwa wanahabari hao.
Wanahabari wakisubiri moja ya mabasi hayo litengezwe katika Kijiji cha Kilimahewa
Barabara Kuu ya Dar es Salaam-Mtwara eneo la Kibiti, wilayani Rufiji , Pwani.
Abiria wa moja ya mabasi wakihaha kuingia kwenye basi lingine baada ya basi hilo kuharibika wilayani Mkuranga




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

RC KIHONGOSI AELEZA MAFANIKIO LUKUKI MKOA ARUSHA

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA