MAJAMBAZI YAMPORA MWENZAO NA KUTOKOMEA NAYE BAADA YA KULIPIGA RISASI BASI LA MAGEREZA LILILOBEBA MAHABUSU DAR

 Wananchi wakiliangalia basi la mahabusu la Jeshi la Magereza namba MT 0046,  ambalo lilishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana na kudaiwa kumpora mahabusu mmoja na kutokomea naye leo katika Barabara ya Old Bagamoyo,  karibu na Mayfair, Mikocheni, Dar es Salaam. Mahabusu wawili walijeruhiwa na askari mmoja wa magereza. PICHA NA WADAU WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 sehemu ya nyuma ya basi hilo ikiwa wazi baada kioo kusambaratishwa na kufanikiwa kumpitishia mwenzao





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye